Baadhi
ya picha za mastaa wa Bongo katika mikao tofauti ambayo kimsingi
inanyemelea kwenda kinyume na maadili ya kitanzania. Bado wasanii wetu
wanakabiliwa na changamoto kubwa ya namna ya kudhibiti masuala yao
binafsi. Wasanii wengi bado wanatumia mbinu za kizamani za kuuvuta
umaarufu kwa kutumia skendo ambazo baadae huwadhalilisha pasipo kuwa na
sababu za kufanya hivyo.

Wasanii
wetu wengi hawana uelewa wa kutosha na teknolojia ya sasa. Wanapiga
picha, wanajirekodi hata mambo ya faragha na mwisho wake huwa mbaya hasa
pale picha na maudhui ya picha hizo zinapovuja na kuifikia jamii ambayo
huishia kuwalaumu wasanii kwa kushindwa kuwa mfano kwa jamii
inayowatazama
Timu
ya Blog hii imepokea picha zaidi ya 1000 za wasanii wa kitanzania na
zipo katika hatua ya uhalili ili kupunguza ukali wa picha hizo kwa macho
ya wapenzi wa blog hii. Picha nyingi zilizotumwa zimetumwa na watu
wanaoshirikiana na wasanii hao kupiga picha hizo. Muda si mrefu zitaanza
kuonekana kupitia Blog hii. Lengo la kufanya hivyo ni kufikisha ujumbe
kwa jamii na waote wanaoiga mtindo huo madhara ya kupiga picha za ovyo
na kushindwa kuzidhibiti
![]() |
Jack wa Chuzi |
![]() |
Anaitwa Jack |
![]() |
Wema Sepetu |
![]() |
Aunt Lulu |
![]() |
Mary John |
![]() |
Afsa Kazin |
Post a Comment