MTOTO WA RAIS KATIKA SKENDO YA NGONO, NI BAADA YA PICHA ZAKE ZA UFUSKA KUVUJA, ZICHEKI HAPA
MTOTO WA KIKE WA RAIS WA CZECH AMEINGIA KATIKA SKENDO MPYA YA NGONO
BAADA YA PICHA ZAKE KUONEKANA KATIKA "PORN PARTY" MOJA ILIYOFANYIKA
NCHINI HUMO HUKU AKIONEKANA AKICHEZA NA KUWASHIKA WANAUME
WALIO UCHI...HABARI KUTOKA GAZETI MOJA LA NCHINI HUMO ZIMEDAI YA KWAMBA
MTOTO HUYO ALIPIGWA PICHA AKIWA AMEVALIA SHATI JEUPE NA SKETI NYEUSI...

Mtoto huyo mwenye umri wa miaka 19 amekataa kuonekana kwenye party hiyo
na kusema hizo picha zake ni feki...Kupitia Msemaji wake, Binti huyo
alidai kua '''This was not me. The photos are a hoax or some sort of
fake" Akiwa na maana kua "Huyo si yeye na Hizo picha sio zake ni feki" 

Lakini Editor wa Extra.cz ambaye aliweka hizo picha kua ni yeye na si mtu mwingine... 

Wanafanana hata vidoti katika ngozi zao zinafanana... Inasemekana Party
hiyo ilifanyika mwezi wa kumi kabla ya uchaguzi mkuu wa Marais Nchini
humo...
Post a Comment