Mchezaji nguli wa soka aliewahi kukinukisha timu kadhaa kama Barcelona na timu ya taifa ya Brazil, hapa namzungumzia Ronaldinho gaucho aliestaafu kukipiga timu ya taifa mnamo2015.
Kama alivyokawaida yetu Bongoswaggz tayari imetufikia ngomaya kwanza kwa mchezaji huyo aliamua kuigeukia sanaa ya mziki na kuachia nyimbo iliyopewa jina la 'Sozinho'ngoma yenye mahaddi ya kibrazil. Karibu kuisikiliza hapa
Post a Comment